Zakitaani Blog

Wednesday, September 26, 2012

AISHA  MADINDA

Tunaamini kwamba matukio wanayofanya  dada  zetu hayakubaliki kisheria....Hivyo  tunatoa ushauri kwa  dada zetu kuachana na vitendo hivi   viovu  ambavyo havina  tija  hata kidogo......

kulia kwake ni unga..bila shaka ulimpotezea kumbukumbu

Hata hivyo, katika makala hayo, Aisha alishindwa kuthibitisha picha hizo ni za kutengeza, zilitengnezwa wapi na lini na vigezo gani vinavyoonesha picha hizo ni za kutengeneza



HUYU NDIO AISHA MADINDA KATIKA PICHA ZA NGO

No comments:

Post a Comment