Msanii wa kizazi kipya wa miondoko ya hiphop "Country Boy", kutoka kundi la "Mtu chee" ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo Country music ambayo imerushwa kwa mara ya kwanza katika kituo kimoja cha habari "Clouds TV" jana...!! na ameahidi kuzidi kutoa vitu vikali zaidi hivyo anaomba ushirikiano wenu wadau wa muziki wa kizazi kipya...!!
No comments:
Post a Comment