Mtangazaji wa kipindi cha planet bongo kinachorushwa East Africa televition (chanel 5) "Dula" amefiwa na mtoto wake alie zalia juzi... kiukweli inauma yani hata ajapata nafasi ya kuishi na mwanae... tumuombee mema mungu atampa mtoto mwingine... Bwana ametoa na bwana ame twaa jinalake lihimidiwe...!!
dula akimzika mwanae kwa majonzi na simanzi kali...!!
No comments:
Post a Comment